Karibu Dj Dukeswagas blog

Sunday, March 18, 2012

THIS WEAK TOP 20


NEW  THE BEAT POWER TOP 20 18.03.2012 siku 78 weak la 11 .
                        (BPT 20)
No 20         Mwanamke hapigwi (new) out- (magube gube ….. baranaba)
No 19         Izo busness fet dully….barua pro fish club
No 18         mbayu wayu….. mallow  -1 (17-18)
N0 17         bagdadi fet climaxbibo…. Oh mama +1(18-17)
No 16         20%..... si mfano -4(12-16)
No 15         youg dee fet katokololo…. Dada huyo -8(7-15)
No 14         diamond plat nam…. Nimpende nani. -4(10-14)
No 13         AT…. bao la kete -4(9-13)
No 12         Fid q farid kubanda… ielewe mitaa +4(16 – 12)  
No 11         lakuchumpa la kumparama…. Godzilar fet jot +3(18-15)
N0 10         bellinine …. Amerudi +4(14-10)
No 9           stamina fet rich mavocal…. Kabwela +4(13-90
No 8           maneno maneno…. Quen Doreen + 5(10-5)
No 7           kizungu zungu…. Abdukiba +4(11- 7)
No 6           aslay ….. naenda kusema -3(3-6)
No 5           Alikiba fet lad j dee…. Single boy +3(8-5)
NO 4          Ukweli wa moyo…. Ney wamitego fet matonya -1  (1-2) 
No 3           nivute kwako … Dyna fet barnaba +3(6-3)
No 2           Kichwa kinauma….. tmk -2(1-2)
Bonas         Deo… Nitasimama
No 1           Richimavocal…. Silali +3(4-1)
                  

Friday, March 16, 2012

MNYAMAPOLI ALIYE VAMIA MAHENGE AJULIKANA


Uchunguzi liofanyika na idara ya wanyamapori wilayani Ulanga  mkoani morogoro, imebaini kuwa mnyama anayekula mifugo ni fisi na  siyo simba kama ambavyo wananchi walivyokuwa wakidhani

Akifafanua afisa wanyamapori John Fanuel Makota, amesema kuwa fisi huyo anafahamika kama kanka simba ambaye ni mkubwa tofauti na fisi wa kawaida na ana madoa madoa

Aidha amewaomba wananchi kuimarisha mabanda yao ya nguruwe na kuzingatia kutembea watu zaidi ya mmoja nyakati za usiku na kama ikibidi watu wasitembee usiku kama haakuna ulazima.

Kwa muda wa siku 5 sasa mnyama huyo amekuwa akila nguruwe katika maeneo mbalimbali ya mji wa mahenge ambapo hadi sasa nguruwe wa 5 inasemekana kuliwa.

Wednesday, March 14, 2012

HATARI!!!!!MNYAMA ASIE JULIKANA AINGIA MAHENGE

Katika hali isiyo yA kawaida mnyama anaye sadikika kuwa simba, Chui au Fisi amevamia mji wa Mahenge katka eneo la Chamange na kula nguruwe wapatao wa nne kwa muda wa siku nne tangu march 12 hadi leo.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakazi wa eneo la chamange wamesema hawajaweza kufahamu moja kwa moja mnyama huyo ni simba au laaa lakini amekuwa akitokea nyakati za usiku na kuuwa nguruwe na kuacha Kichwa, Utumbo na Maini pamoja na viungio vya miguu.

Mtu mmoja ambaye anadai kumuona mnyama huyo amesema kuwa mnyama huyo nimkubwa na wala si mbwa wala fisi au chui kwakuwa ingawa alikuwa gizani aliweza kumuona akiwa anarangi inayo karibia kuwa nyekundu na huwenda akawa simba.

Nilimtafuta mtalamu kutoka maliaasili iliaweze kuzungumzia sakata hilo ambapo mtalamu huyo amesema wamepata taarifa kuwepo kwa mnyama huyo ila bado hawajajua kama mnyama huyo ni simba au laa. mtaalamu huyo amewataka wananchi kuwa makini na kutaembae nyakati za usiku kwakuwa mnyama huyo hutembea nyakati za usiku, na kuwataka wananchi wote wa mahenge kukata majani na vichaka vinavyo zunguka nyumbazao ikiwa ni pamoja na kutoa tarifa mara moja endapo watamuona mnyama yeyote asiye wakufugwa .

mwaka jana wananchi wakichangani waliua vitoto vya simba vitano vilivyo dhaniwa kuwa na mama yao ingawa hakuna madhara yeyote yaliyojitokeza.



Monday, March 12, 2012

MSANII KUTOKA MAHENGE ADAIWA KUIBA WIMBO.


MSANII KUTOKA MAHENGE  ULANGA MOROGORO,ADAIWA KUIBA WIMBO.

Msanii mchanga wa musiki wa kizazi kipya alimaarufu kama bongo fleva Yang Simple ambaye ametamba na wimbo wake wa muda bado, hivi karibuni amedaiwa kukopi wimbo huo kutoka kwa msanii mwingine aliyetajwa kwa jina moja la Tomas.
Akizungumza na ulanga fm kwa njia ya simu, kupitia kipindi cha joto la jumamosi kinacho rushwa kila siku ya jumamosi meneja wa kampuni ya sweet production jijini dare s salaam Wills  amesema kuwa amepokea taarifa za msanii huyo kukopi wimbo huo ambao alidai ni utunziwake yeye mwenyewe.

Meneja huyo amedai kuwa amesikitishwa na kitendo hicho kwakuwa msanii tom ambaye ndiye mmiliki halali wa wimbo huo,aliujumuisha wimbo huo katika albamu yake ambayo inatarajia kuachiwa hivi karibuni.
Kwa upande wake yang simple mapema alisema wimbo huo ni utunzi wake isipokuwa biti hanauhakika kama haina mtu kwakuwa biti hiyo aliikuta imeshatengenezwa.
Hata hivyo baada ya kubanwa na maswali yang simple ambaye alifadhiriwa na mtu aliye fahamika kwa jina la Eddo, alikiri kuwa wimbo huo aliukuta kwa produsa ambaye ni rafiki yake aliye mtaja kwa jina moja la Kona, na kwamba walibadirisha baadhi ya maneno na kuurecord kwa gharama ya shilingi 40,000 huku producer huyo akimwambia kuwa wimbo huo ni deal na uwe siri yao.

Hali hiyo imejitokeza wakati wimbo huo ukifanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio, na kuwapa mshutuko baadhi ya mashabiki wa msanii huyo.
Akizungumza kwanjia ya simu jumatatu hii yang simple amesemama kwa sasa anaachana kwa muda na masuala ya muziki na kujikita katika masomo kwa kuwa yupo kidato cha nne na kumtaka radhi meneja wa kampuni ya sweet kwa hali iliyo jitokeza na kuomba wimbo huo usipigwe tena katika vituo vya radio.

Naye meneja wa kampuni hiyo amesema kuwa anawaomba wasanii wachanga kuacha mara moja tabia ya kukopi nyimbo zisizo zao kwakuwa kufanya hivyo ni kosa kisheria.

CHAT MPYA YA THE BEAT POWER TOP 20



NEW  THE BEAT POWER TOP 20 11.03.2012 siku 71 weak la 10 na asiku 1 masaa 852 dakika 51,120 .
                        (BPT 20)
No 20         magube gube ….. baranaba -4(16-20)
No 19         Izo busness fet dully….barua pro fish club
No 18         bagdadi fet climaxbibo…. Oh mama -3(15-18)
N0 17         mbayu wayu….. mallow  -3 (14-17)
No 16         Fid q farid kubanda… ielewe mitaa +4(20 – 16)
No 15         lakuchumpa la kumparama…. Godzilar fet jot +3(18-15)
No 14         bellinine …. Amerudi +3(17-14)
No 13         stamina fet rich mavocal…. Kabwela
No 12         20%..... si mfano -6(6-12)
No 11         kizungu zungu…. Abdukiba +2(13-
N0 10         diamond plat nam…. Nimpende nani. -6(4-109)
No 9           AT…. bao la kete -4(4-9)
No 8           Alikiba fet lad j dee…. Single boy +7(15-8)
No 7           youg dee fet katokololo…. Dada huyo
No 6           nivute kwako … Dyna fet barnaba +3(9-6)
No 5           maneno maneno…. Quen Doreen + 5(10-5)
NO 4          Richimavocal…. Silali +8(12-4)
No 3           aslay ….. naenda kusema -2(2-3)
No 2           Ukweli wa moyo…. Ney wamitego fet matonya -1  (1-2)          
Bonas         Deo… Nitasimama
No 1           Kichwa kinauma….. tmk +2(2-1)
NB.Ukweli wa moyo imekaa kwa muda wa mwezi mmoja katika nafasi ya kwanza.
         


NEW  THE BEAT POWER TOP 20 11.03.2012 siku 71 weak la 10 na asiku 1 masaa 852 dakika 51,120 .
                        (BPT 20)
No 20         magube gube ….. baranaba -4(16-20)
No 19         Izo busness fet dully….barua pro fish club
No 18         bagdadi fet climaxbibo…. Oh mama -3(15-18)
N0 17         mbayu wayu….. mallow  -3 (14-17)
No 16         Fid q farid kubanda… ielewe mitaa +4(20 – 16)
No 15         lakuchumpa la kumparama…. Godzilar fet jot +3(18-15)
No 14         bellinine …. Amerudi +3(17-14)
No 13         stamina fet rich mavocal…. Kabwela
No 12         20%..... si mfano -6(6-12)
No 11         kizungu zungu…. Abdukiba +2(13-
N0 10         diamond plat nam…. Nimpende nani. -6(4-109)
No 9           AT…. bao la kete -4(4-9)
No 8           Alikiba fet lad j dee…. Single boy +7(15-8)
No 7           youg dee fet katokololo…. Dada huyo
No 6           nivute kwako … Dyna fet barnaba +3(9-6)
No 5           maneno maneno…. Quen Doreen + 5(10-5)
NO 4          Richimavocal…. Silali +8(12-4)
No 3           aslay ….. naenda kusema -2(2-3)
No 2           Ukweli wa moyo…. Ney wamitego fet matonya -1  (1-2)          
Bonas         Deo… Nitasimama
No 1           Kichwa kinauma….. tmk +2(2-1)
NB.Ukweli wa moyo imekaa kwa muda wa mwezi mmoja katika nafasi ya kwanza.