Karibu Dj Dukeswagas blog

Wednesday, April 25, 2012

WAJUE WATANGAZAJI WA ULANGA FM

Sekela Mwasubila,Meneja wa kitengo cha Radio pia ni Afisa habari wa halmashauri ya (w) ulanga

Bibianna Palangu, mtangazaji, na msimamizi wa kitengo cha masoko katika radio alishawahi kufanya kazi Radio dar es salaam katka miaka ya zamani. ni mcheshi hupenda kuzungumza na vijana na watoto. Hufanya vipindi kama, kipindi cha watoto,salamu kwa njia ya kadi.



Yuster Sengo,Mtangazaji/mwandishi wa habari,muandaaji wa habari anafanya pia kipindi cha usiku mwanana,drive back home,kipengere cha urembo katika kipinddi cha charaza time,mataukio ya wiki .kutana naye katika vipindi hivyo.


Hellen Joseph,mtangazaji/mwandishi wa habari hutangaza kipindicha Adhuhuri tulivu,mambo ya pwani,makala mbali mbali. get in touch with her.




GEOFREY LIDUKE,(DJ.DUKE),prodaction manager, fundi mitambo,hutangaza kipindi cha Charaza time,beat power, the beat power top 20,joto la jumamosi, see me in my actions.


2 comments:

  1. Nimeipenda hiyo kaka hususani hayo mazingira ya Ulanga Town keep it up mr .. Msalimie sana Helen

    ReplyDelete